Imewekwa tarehe: July 10th, 2019
WANAWAKE katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kujiunga katika vikundi vya uzalishaji mali ili waweze kukopeshwa fedha kwa ajili ya kujikwamua kiuchumi.
Kauli hiyo ilitolewa na Afisa Maen...
Imewekwa tarehe: July 10th, 2019
WANANCHI wa mtaa wa Mahomanyika jijini Dodoma wametakiwa kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii ulioboreshwa (improved Community Health Fund - iCHF) ili waweze kutibiwa bure mwaka mzima.
Kauli hi...
Imewekwa tarehe: July 10th, 2019
MFUKO wa Afya ya Jamii Ulioboreshwa unalenga kumhakikishia mwananchi uhakika wa afya njema kupitia matibabu kwa mwaka mzima wilayani Dodoma.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrob...