Imewekwa tarehe: May 5th, 2021
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limeanza mradi mkuwa wa ujenzi wa nyumba 1,000 mkoani Dodoma ambazo zinatarajiwa kukamilika mwezi Julai 2021.
Hayo yamesemwa leo tarehe 05 Mei, 2021 na Mkurugenzi M...
Imewekwa tarehe: May 5th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 05 Mei, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Ma...
Imewekwa tarehe: May 5th, 2021
JUMLA ya Shilingi bilioni tano zimetolewa na Serikali kwa ajili ya kutatua na kupunguza adha ya huduma ya maji katika Mkoa wa Dodoma.
Fedha hizo zimetumika kuboresha miundombinu ya maji, pamoja na ...