Imewekwa tarehe: June 6th, 2017
OFISI ya Makamu wa Rais imepongeza jitihada zinazofanywa na Manispaa ya Dodoma katika kuuweka mji wa Dodoma katika hali ya usafi ikiwemo kuimarisha vikundi vya usafi kwa kuwapatia vifaa mbali...
Imewekwa tarehe: June 5th, 2017
MKUU wa Wilaya ya Dodoma Christine Mndeme amesema wafanyabiashara ndogo waliozunguka eneo la bustani ya Uhuru katika Manispaa ya Dodoma wataondolewa na kuhamishiwa katika masoko ya Sabasaba na Bonanza...
Imewekwa tarehe: May 25th, 2017
BARAZA la Madiwani wa Manispaa ya Dodoma limempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dokta John Magufuli kwa hatua yake ya kuivunja rasmi iliyokuwa Mamlaka ya Ustawishaji Mak...