Imewekwa tarehe: February 15th, 2019
WAFANYABIASHARA na Wawekezaji kutoka Jiji la Linz nchini Austria wamealikwa kuwekeza katika kilimo cha zao la Zabibu ili kukuza uchumi wa Wananchi wa Jiji la Dodoma na Tanzania kwa ujumla.
Wito huo...
Imewekwa tarehe: February 14th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeahidi kuwashonea sare wanafunzi wote wenye mahitaji maalum katika shule ya msingi Mpunguzi ili wasitofautiane na wanafunzi wengine na kuchochea maendeleo ya kitaaluma ...
Imewekwa tarehe: February 14th, 2019
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amepongezwa kwa kutetea haki za Wananchi wanyonge na kuwafanya kuendelea kuwa na imani zaidi na Serikali ya awamu ya tano katika kutat...