Imewekwa tarehe: October 7th, 2021
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Kongwa, Mhe. Job Ndugai ameshiriki uzinduzi wa Jengo la Mahakama ya Mwanzo Kibaigwa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma leo Octoba 7, 2021.
...
Imewekwa tarehe: October 7th, 2021
KATIBU Mkuu - Sanaa, Utamaduni na Michezo, Ddkt. Hassan Abbasi, amekutana na watendaji wa Wakala wa Barabara (Tanroads) kuangalia na kukubaliana mchoro wa mwisho wa Uwanja wa Kisasa wa Mpira wa Miguu ...
Imewekwa tarehe: October 7th, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua rasmi Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki katika eneo la National Capital City Jijini Dodoma tarehe 06 Oktob...