Imewekwa tarehe: May 6th, 2019
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Josephat Kandege amesema amefurahishwa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayoendelea katika Jiji la Dodoma.
...
Imewekwa tarehe: May 4th, 2019
MKUU wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma Godwin Kunambi kwa pamoja wamemaliza na kuhitimisha migogoro ya Ardhi ya muda mrefu katika Kata mbili za Kikuyu...
Imewekwa tarehe: May 2nd, 2019
RISALA iliyosomwa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Mkoa wa Dodoma wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi Mwaka huu imeeleza jinsi wafanyakazi wa Wizara na Taasisi mbalimbali...