Imewekwa tarehe: October 2nd, 2020
TIMU ya Dodoma Jiji FC leo imedhihirisha ubabe wake katika dimba lake la nyumbani Jamhuri Jijini Dodoma baada ya 'kuipapasa' timu ya Ruvu shooting kwa kuifunga magori 2 - 0.
Mchezo ulianza kwa kila...
Imewekwa tarehe: October 2nd, 2020
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imeendelea kufanya afua ya upuliziaji wa viuadudu vya kuangamiza viluwiluwi wa mbu waenezao ugonjwa wa Malaria kwa awamu ya tatu, zoezi lililoanza tarehe 28/09/2020...
Imewekwa tarehe: October 1st, 2020
Wagonjwa wa Sikoseli nchini wamepewa unafuu wa gharama na upatikanaji wa dawa baada ya Serikali kupitia Wizara ya Afya kuweka mikakati madhubuti inayolenga kuboresha huduma kwa wagonjwa hao.
Hayo y...