Imewekwa tarehe: August 27th, 2021
Na Sifa Stanley, DODOMA.
VIJANA wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wameaswa kuwa waaminifu katika urejeshaji wa mikopo wanayopatiwa ili waendelee kunufaika na mikopo nafuu inayotolewa na Serikali.
...
Imewekwa tarehe: August 27th, 2021
Na Sifa Stanley, Dodoma
WAZAZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma washauriwa kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wao ili kuepusha madhara yatokanayo na ukosefu wa elimu hiyo.
Hayo yalisemwa na...
Imewekwa tarehe: August 27th, 2021
Na Sifa Stanley, Dodoma
MKUU wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimweri ameiagiza Halmashauri ya Jiji na wadau mbalimbali wa utunzaji wa mazingira Jijini Dodoma kuhakikisha mazingira ya Jiji hilo yanafa...