Imewekwa tarehe: March 2nd, 2025
Na. Mussa Richard, TABORA
Klabu ya Soka ya Dodoma Jiji FC, imewasili salama mkoani Tabora, ambapo mchana wa kesho watakuwa na kibarua cha kuikabili klabu ya soka Tabora United, (Nyuki wa Tabora) ka...
Imewekwa tarehe: March 1st, 2025
Na. Shahanazi Subeti, MAKOLE
Diwani wa kata ya Makole, Halmashauri ya Jiji la Dodoma Omary Haji amewapongeza wafanyabiashara wadogo wadogo (Machinga) wa Mkoa wa Dodoma kwa kuwa na umoja na mshikama...
Imewekwa tarehe: March 1st, 2025
Na. Aisha Ibrahim, VIWANDANI
Afisa Maendeleo ya Jamii, Dawati la Msaada wa Kisheria Jiji la Dodoma, Frida Ngowi, amewataka wakazi wa jiji hilo kujitokeza kwa wingi katika Kliniki ya Ardhi inayoende...