Imewekwa tarehe: May 11th, 2024
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa nchini waakisi utashi wa kisiasa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kusimamia na kutekeleza mapendekezo yote yaliyotolewa na Tume ya Haki Jinai.
...
Imewekwa tarehe: May 10th, 2024
WAKURUGENZI wa Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kusimamia makusanyo kupitia vyanzo mbalimbali vilivyo kwenye maeneo yao ili kuwezesha Serikali kutoa huduma kwa wananchi.
Hayo yamesemw...
Imewekwa tarehe: May 9th, 2024
SERIKALI imetenga jumla ya Shilingi Trillion 1.15 kwa ajili ya kujenga shule mpya za msingi na madarasa mapya kwa kipindi cha miaka 5 ambapo kwa mwaka huu wa fedha Shule 302 mpya za msingi na ma...