Imewekwa tarehe: July 28th, 2021
MRADI wa ujenzi wa Government City Complex utaiwezesha Halmashauri ya Jiji la Dodoma kujitegemea kimapato baada ya kukamilika kwake.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Shekimwe...
Imewekwa tarehe: July 28th, 2021
KIONGOZI wa mbio za Mwenge Maalum wa Uhuru mwaka 2021, Lt. Josephine Mwambashi amepongeza mfumo wa kieletroniki wa Udhibiti na Uendeshaji wa Vituo vya Kutolea Huduma za Afya wenye kukusanya taarifa na...
Imewekwa tarehe: July 28th, 2021
KIONGOZI wa Mbio za Mwenge maalum wa Uhuru kitaifa mwaka 2021, Lt. Josephine Mwambashi amekipongeza kikundi cha vijana cha Dodoma Data Tech TEHAMA na Umeme kwa uamuzi wao wa kujiunga na kujiajiri.
...