Imewekwa tarehe: September 4th, 2019
Mahakama Kuu ya Gauteng imeamuru kuachiwa kwa ndege ya Serikali ya Tanzania inayosimamiwa na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyokuwa imezuiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo,...
Imewekwa tarehe: September 3rd, 2019
Dondoo za Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Watendaji wa Kata takribani 3,800 nchini aliowaita Ikulu jijini Dar es salaam jana 02 Septemba, 2019:-
Nawahakikishia kuwa cheo cha Afisa Mtendaj...
Imewekwa tarehe: September 2nd, 2019
TAASISI ya Association of African Economy and Development in Japan (AFRECO) imeahidi kuipatia Hospitali ya Benjamin Mkapa, basi ambalo ni hospitali kamili litakalotoa huduma za matibabu kwa Dodoma na ...