Imewekwa tarehe: October 27th, 2020
WATANZANIA wapatao milioni 29 wanatarajia kupiga kura kesho tarehe 28 Oktoba, 2020 katika Uchaguzi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jumla ya Wapiga kura 29,188,348 wameandikishwa kati...
Imewekwa tarehe: October 26th, 2020
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imetoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shilingi 545,000,000 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2020/2021 ili ...
Imewekwa tarehe: October 25th, 2020
WAPIGA kura wa Jimbo la Dodoma mjini wametakiwa kutumia haki yao ya kikatiba kwenda kupiga kura na kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mbunge na Madiwani bila wasiwasi.
Kauli hiyo il...