Imewekwa tarehe: September 9th, 2019
SHULE ya msingi Chihoni imetakiwa kuwekeza katika michezo ili kuibua vipaji, kuchochea ufaulu na kuondoa utoro kwa wananfunzi.
Kauli hiyo ilitolewa na mgeni rasmi katika mahafali ya darasa la saba ...
Imewekwa tarehe: September 9th, 2019
UONGOZI wa shule ya msingi Chihoni iliyopo Kata ya Nala, Halmashauri ya Jiji la Dodoma imepongezwa kwa kuwafundisha wanafunzi somo la uzalendo kwa nchi yao.
Pongezi hizo zimetolewa na Meneja mradi ...
Imewekwa tarehe: September 9th, 2019
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imepongezwa kwa juhudi za kuinua kiwango cha taaluma kwa elimu ya msingi kwa kuwezesha ujenzi wa miundombinu na uwekezaji katika rasilimali watu.
Pongezi hizo zilitole...