Imewekwa tarehe: July 27th, 2021
Mbio maalum za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2021 zinatarajiwa kutikisa ndani ya Jiji la Dodoma kesho Julai 28 kuanzia saa 20:00 asubuhi.
Mwenge huo utapokelewa katika eneo Makutupora ukitokea Wilaya y...
Imewekwa tarehe: July 26th, 2021
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini, Mhe. Anthony Mavunde leo ametembelea Kata ya Chigongwe kwenye mtaa wa Ng’hambala na kushiriki kwenye zoezi la uchimbaji wa msingi wa ujenzi wa Zahanati mpya ambayo ina...
Imewekwa tarehe: July 26th, 2021
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt.Faustine Ndugulile,amezindua studio za TBC Redio Jamii Kanda ya Kati ambazo zimefadhiliwa na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kwa kushiriki...