Imewekwa tarehe: August 30th, 2019
MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Dkt Binilith Mahenge ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayotekelezwa katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kulitaka Jiji hilo kujipanga katika usimamizi wak...
Imewekwa tarehe: August 29th, 2019
MBUNGE wa Dodoma Mjini, Mhe. Antony Mavunde amesema ujenzi wa hoteli ya nyota nne katikati ya Jiji la Dodoma utachochea maendeleo, biashara na utoaji huduma za kijamii jijini hapo.
Amesema hayo kab...
Imewekwa tarehe: August 29th, 2019
Jumla ya wanafunzi 1,674 kati ya wanafunzi 1,861 waliokuwa wanasubiri chaguo la pili la kujiunga na kidato cha tano, wamepewa nafasi hiyo baada ya kuwa na sifa zinazotakiwa.
Hayo yamebainishwa na W...