Imewekwa tarehe: September 18th, 2021
WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amesema kuwa ukusanyaji wa mapato ya ndani upimwe kwa ujenzi wa miradi ya maendeleo.
"Sisi tunataka tuone makusanyo ya mapato ye...
Imewekwa tarehe: September 17th, 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imedhamiria kujenga vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) katika kila halmashauri nchini.
...
Imewekwa tarehe: September 17th, 2021
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Ofisi ya Rais-TAMISEMI ihakikishe inasimamia ujenzi wa majengo ya ofisi za halmashauri ya wilaya ya Kigoma unafanyika kwenye Kata ya Mahembe kama ilivyopendekezwa...