Imewekwa tarehe: March 12th, 2020
TIMU ya Dodoma Jiji FC imeendelea kujinoa na mazoezi makali kuelekea kukabiliana na timu ya Njombe Mji FC ya Mkoani Njombe katika mchezo wa ligi daraja la kwanza Tanzania Bara utakaochukua nafasi kati...
Imewekwa tarehe: March 8th, 2020
Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto iko mbioni kuanzisha huduma shikizi za tiba ya methadone kwa waathirika wa madawa ya kulevya ya Heroine.
Hayo yamesemwa ...
Imewekwa tarehe: March 8th, 2020
MWENYEKITI wa dawati la jinsia mkoani Dodoma, Theresia Mdedemi amewaja wazazi na walezi kuwa ni moja kati ya watu wanaofanya vitendo vya ukatili kuongezeka kutokana na usiri na matendo mengi kumalizwa...