Imewekwa tarehe: December 28th, 2018
Halmashauri ya Jiji la Dodoma kupitia kitengo cha Ustawi wa Jamii wametoa vitu mbali mbali kwa ajili ya Watoto yatima wa Kituo cha Hope of Charity kilichopo kata ya Hombolo Bwawani.
Mratibu w...
Imewekwa tarehe: December 27th, 2018
WAZIRI Mkuu amemuagiza Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi na Mkurugenzi wa mwenzake wa Chamwino kuhakikisha vijana wengi wanapata fursa za ajira kwenye mradi wa ujenzi ofisi za serikali.
...
Imewekwa tarehe: December 22nd, 2018
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imepokea jumla ya vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo 5000 vilivyotolewa na Rais Dkt. John Magufuli kwa lengo la kuwatambua na kuwawezesha kufanya biashara kwa uhuru ...