Imewekwa tarehe: June 30th, 2023
Na Mwandishi Wetu - Dodoma.
KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi ameitaka jamii kujiandaa kila wakati ili kujikinga na maafa.
...
Imewekwa tarehe: June 30th, 2023
Na WMJJWM, DODOMA
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum inajipanga kutoa elimu ya masuala ya fedha kwa jamii hasa makundi maalum kwa kushirikiana na Wizara ya fedha na Mi...
Imewekwa tarehe: June 27th, 2023
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Rosemary Senyamule amekagua ujenzi wa uwanja mpya wa Mashujaa unaojengwa katika Mji wa Serikali Jijini Dodoma.
Senyamule alipata maelezo ya maendeleo ya ujenzi huo...