Imewekwa tarehe: February 23rd, 2021
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dkt Binilith Mahenge ametaka kufanyika kwa tathmini juu ya sera na matamko yanayohusu udhibiti wa vifo vya mama na mtoto yanayotolewa kama yanasaidia katika udhibiti wa vifo vya...
Imewekwa tarehe: February 22nd, 2021
Bofya hapa chini kutazama 'live' mkutano wa kimataifa wa uwekezaji katika sekta ya madini unaofanyika Tanzania...
https://www.youtube.com/watch?v=RyxjICCjB-w...
Imewekwa tarehe: February 20th, 2021
KITUO kikuu cha kuengesha malori kilichopo eneo la Nala (Nala lorry park) kimeanza kazi na kuwavutia wadau wa sekta ya usafirishaji ndani na nje ya Jiji la Dodoma.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji...