Imewekwa tarehe: March 20th, 2025
Na. Aisha Ibrahim, DODOMA
Mkutano mkuu wa 39 wa Mwaka wa Mamlaka ya Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma...
Imewekwa tarehe: March 19th, 2025
Na. Nancy Kivuyo, VIWANDANI
Walimu watakiwa kudhibiti matumizi mabaya ya ‘internet’ kwa wanafunzi shuleni ili kukabiliana na mabadiliko makubwa ya utandawazi na matumizi ya teknolojia.
Ha...
Imewekwa tarehe: March 18th, 2025
Na. Leah Mabalwe, VIWANDANI
Wanafunzi wa shule za sekondari za serikali waaswa kuongeza jitihada katika masomo yao ili kuzidisha ufaulu.
Hayo yalisemwa na Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde...