Imewekwa tarehe: January 17th, 2022
KATIBU MKUU wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa miundombinu ya TEHAMA yenye urefu wa kilomita 265 ambao umefanyika kwenye eneo...
Imewekwa tarehe: January 16th, 2022
HALMASHAURI za Mkoa wa Dodoma zimetakiwa kuiga mfano wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kutenga shilingi Bilioni 7.5 katika mapato yake ya ndani kujenga jengo la kisasa la Machinga ili kuwawezesha k...
Imewekwa tarehe: January 16th, 2022
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imepongezwa kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) ili waweze kufanya shughuli zao katika eneo rasmi na sala...