Imewekwa tarehe: November 21st, 2022
SERIKALI imesema itaendelea kuwekeza kwenye maeneo tofauti yanayohusu afya ya kinywa na meno na tasnia zinazoambatana na kada hiyo ili kuboresha afya ya Kinywa na Meno nchini.
Kauli hiyo ya Serikal...
Imewekwa tarehe: November 20th, 2022
WAKURUGENZI wa Halmashauri nchini wametakiwa kutekeleza miradi ya sekta ya elimu kwa kufuata miongozo ili kupunguza hasara zinazoweza kujitokeza pindi miradi hiyo ikitekelezwa kinyume na utaratibu.
...
Imewekwa tarehe: November 20th, 2022
KATIKA kuhakikisha msingi wa Sera ya Afya ya mwaka 2007 kwamba "KINGA NI BORA KULIKO TIBA" inazingatiwa, Wizara ya Afya imeamua kubeba jukumu la kusimamia Usafi wa Mazingira moja kwa moja kupitia...