Imewekwa tarehe: September 22nd, 2021
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deogratius Ndejembi amewaelekeza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha Waratibu wa utekelezaji wa Mpango...
Imewekwa tarehe: September 21st, 2021
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba wakati akikagua kituo cha kudhibiti mifumo ya umeme wa Gridi ya Taifa, mwishoni mwa wiki (Septemba 17, 2021) amesema atahakikisha TANESCO inakuwa Shirika bora A...
Imewekwa tarehe: September 21st, 2021
Na Sifa Stanley, DODOMA.
MKUU wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari Mawasiliano na Uhusiano, (TEHAMA na Uhusiano) wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Joseph Fungo amesema kuwa kitengo hicho kina ...