Imewekwa tarehe: June 14th, 2021
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI wahakikishe Maafisa Ugani wote nchini wanakuwa na mashamba darasa kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa wakul...
Imewekwa tarehe: June 12th, 2021
HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH) ya Jijini Dodoma imetangaza neema kwa Watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo kuwa kutakuwa na Kambi ya Madaktari Bingwa wa Moyo kwa Watoto.
Katika tangazo lao k...
Imewekwa tarehe: June 12th, 2021
WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameziagiza Halmashauri zote nchini kupitia Maafisa Michezo na Utamaduni kuandaa vikundi na viwanja kwa ajili ya kufanya mazoezi ili...