Imewekwa tarehe: March 18th, 2020
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa taarifa ya ongezeko la wagonjwa wawili wa ugonjwa wa Corona nchini mmoja akiwa ni raia wa Marekani na mwingine ni raia wa Ujerumani na kufanya jumla ya wagonjwa kufi...
Imewekwa tarehe: March 17th, 2020
SERIKALI imezifunga shule zote za awali, za msingi na sekondari zikiwemo za kidato cha tano na sita kwa siku 30 ili kujikinga na kusambaa kwa virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 una...
Imewekwa tarehe: March 16th, 2020
Tanzania kwa mara ya kwanza imethibitisha uwepo wa mgonjwa wa homa kali inayosababishwa na Virusi vya Corona.
Akitoa taarifa hiyo mbele ya waandishi wa habari leo Machi 16, 2020, Waziri wa Afya Mae...