Imewekwa tarehe: March 22nd, 2021
WATANZANIA wameelezwa kuwa namna nzuri ya kumuenzi aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ni kuyaishi maono ya utumishi wake katika kufanya kazi kwa bidii.
...
Imewekwa tarehe: March 22nd, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suhulu Hassan leo tarehe 22 Machi, 2021 amewaongoza Watanzania, Wakuu wa Nchi na Serikali, wawakilishi wa mashirika mbalimbali ya Kitaifa na Kimatai...
Imewekwa tarehe: March 22nd, 2021
SERIKALI imejipanga kuhakikisha wananchi wote wanafanikiwa kushiriki zoezi la kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Mafuguli katika hali ya utulivu.
Kaul...