Imewekwa tarehe: June 28th, 2019
WAZIRI MKUU Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi ya kuvutia uwekezaji, biashara na kushirikiana na sekta binafsi katika kukuza uchumi wa Tanzania.
Mpaka sa...
Imewekwa tarehe: June 27th, 2019
MKOA wa Dodoma umeandaa kongamano la uwekezaji kwa ajili ya kutangaza fursa za uwekezaji zilizopo kwa lengo la kuvutia wawekezaji katika maeneo mbalimbali na kukuza uchumi wa mkoa huo.
Kauli hiyo i...
Imewekwa tarehe: June 26th, 2019
MADIWANI wa Halmashauri ya jiji la Dodoma wameshauriwa kukabiliana na athari za lishe duni kwa watoto ili waweze kutoa mchango katika uchumi wa taifa.
Ushauri huo umetolewa na Afisa Lishe wa Halmas...