Imewekwa tarehe: November 1st, 2018
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Dkt. Binilith Mahenge amefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayoendelea kujengwa katika wilaya ya Dodoma na kuagiza hatua za haraka zichukuliwe ikiwemo kubomolewa ...
Imewekwa tarehe: October 30th, 2018
Halmashauri ya Jiji la Dodoma imewatahadharisha wakazi wa Jiji hilo na Wananchi wote kwa ujumla juu ya uwepo wa Makampuni yanayotangaza kupima na kuuza viwanja katika Halmashauri hiyo huku yakiwa haya...
Imewekwa tarehe: October 26th, 2018
MKURUGENZI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amepiga marufuku kupanda mazao ya mahindi, mtama na uwele katika kata 20 ambazo zipo katikati ya Jiji la Dodoma.
Ametoa kauli hiyo jana a...