Imewekwa tarehe: May 2nd, 2023
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa alisema Serikali itaendelea kufanya maboresho ya Sera ya Mifugo na Uvivu ili iweze kuleta tija kwa Taifa.
Alisema hayo alipotembelea maonesho ya wadau wa mifugo na uvuvi...
Imewekwa tarehe: April 30th, 2023
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu alisema kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinaonesha kwamba katika kila vizazi hai 160 mtoto mmoja huzaliwa na tatizo la Usonji Tanzania.
Mwalimu a...
Imewekwa tarehe: April 29th, 2023
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi kuchunguza matukio yote yaliyotolewa taarifa kuhusu kuteswa, kuumizwa na kuuawa kwa baadhi ya Wananchi waliotuhumiwa kuingia ndani ya hifadhi na ...