Imewekwa tarehe: March 6th, 2021
WANAWAKE jijini Dodoma wametakiwa kujitokeza kwa wingi na kushiriki katika michezo mbalimbali ili kuimarisha miili na afya zao.
Kauli hiyo ilitolewa na kaimu Mkurugenzi, Idara ya Maendeleo ya Jamii...
Imewekwa tarehe: March 2nd, 2021
WAKAZI katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kupanda angalau miti mitano katika makazi yao kwa lengo la kuhifadhi mazingira na utekelezaji wa kampeni ya Kijanisha Dodoma.
Rai hiyo imetole...
Imewekwa tarehe: February 27th, 2021
IDARA ya Mazingira na Udhibiti wa taka ngumu ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kushirikiana na wananchi wa Kata ya Dodoma Makulu wameshirikiana kufanya usafi wa mazingira, zoezi ambalo limeshakuwa ...