Imewekwa tarehe: November 13th, 2020
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameanza kusuka Baraza lake la Mawaziri baada ya leo Novemba 12, 2020 kuteua Mawaziri wawili ikiwa ni saa chache kabla ya ku...
Imewekwa tarehe: November 13th, 2020
MICHUANO ya mpira wa kikapu ya "CRDB Bank Taifa Cup" imeanza rasmi katika viwanja vya Chinangali Park Jijini Dodoma Novemba 12, 2020 ambapo timu 36 za mpira wa kikapu kwa upande wa wanaume na wanawake...
Imewekwa tarehe: November 12th, 2020
Rais wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings amefariki dunia Jijini Accra akiwa na umri wa miaka 73 .
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Rais wa sasa Nana Akufo-Addo, ambapo wiki iliyopita Rawlings...