Imewekwa tarehe: October 19th, 2024
MITI 780 imepandwa kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari Saba (7) wakati wa uzinduzi rasmi wa kampeni ya 'Mti wangu birthday yangu' iliyoasisiwa na Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma Bw. Kaspar Mmuya na kuzindu...
Imewekwa tarehe: October 18th, 2024
Wakala wa Usambazaji Nishati ya Umeme Vijijini (REA) Mkoa wa Dodoma, leo Oktoba 18, 2024 wamemtambulisha Mkandarasi mpya ambaye ni Kampuni ya Kitanzania ya DERM GROUP itakayoshughulika na mpango wa us...
Imewekwa tarehe: October 17th, 2024
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary S. Senyamule, leo Oktoba 17, 2924, amepokea ugeni wa mwekezaji kutoka nchini Brazil katika ofisi yake iliyopo Jengo la Mkapa Jijini Dodoma.
Ugeni huo ulioongozw...