Imewekwa tarehe: September 26th, 2019
Wakati Watanzania wengi wakiwa na changamoto ya kupata namba ya utambulisho wa Taifa (NIN), Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imewarahisishia kwa kuweka utaratibu wa kuipata kwa njia ya mtandao...
Imewekwa tarehe: September 25th, 2019
Meneja wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Kanda ya Kati Bwana Carlos Mbuta amekutana na viongozi pamoja na wafanya Biashara wa Soko la Majengo Jijini Dodoma ili kuwafikishia tamko...
Imewekwa tarehe: September 25th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge amempongeza Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde kwa kasi ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM hasa katika Sekta ya Elimu kutokana na...