Imewekwa tarehe: July 18th, 2023
WAGANGA Wakuu wa Halmashauri nchini wametakiwa kushirikiana kwa karibu na Wakurugenzi wao ili kuleta ufanisi katika kuwahudumia wananchi.
Agizo hilo limetolewa Jijini Mbeya na Naibu Katibu Mkuu, Of...
Imewekwa tarehe: July 15th, 2023
WAZIRI wa Afya Mhe Ummy Mwalimu ameagiza Halmashauri zote nchini kuajiri Wataalamu wa Afya wa Mikataba ili kuongeza nguvu ya kutoa huduma bora na haraka kwa Watanzania.
Waziri Ummy alitoa agizo hil...
Imewekwa tarehe: July 13th, 2023
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Deogratius Ndejembi alisema kuna ulazima wa kutenga maeneo kwa ajili ya ujenzi wa shule ili kukidhi mahitaji yanayotokana ...