Imewekwa tarehe: November 6th, 2020
KAMPUNI ya Greenland Group ya nchini China imesaini makubaliano ya kuagiza kontena 10 za mvinyo wa Tanzania kwa ajili ya majaribio katika soko la China.
Mkataba huo umesainiwa katika Maonesho ya Ki...
Imewekwa tarehe: November 6th, 2020
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli jana tarehe 05 Novemba 2020 ameapishwa kuanza muhula wa pili wa uongozi wa awamu ya tano katika sherehe iliyofanyika uwanja wa J...
Imewekwa tarehe: November 6th, 2020
RAIS wa taifa jirani la Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ameipongeza Tanzania kwa kukua kiuchumi na kufikia uchumi wa kati, aidha Rais Museveni ametoa sababu kwa nini ametoa pongezi hizo kwa Watanza...