Imewekwa tarehe: January 15th, 2022
TIMU ya Dodoma Jiji Football Club maarufu kama ‘Walima Zabibu’ leo inarejea kwenye ligi ya NBC Premium League wakiwa wenyeji wa mchezo kwa kupepetana na timu ya Geita Gold kutoka Geita.
Mchezo huo ...
Imewekwa tarehe: January 13th, 2022
Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar yamefanyika jana tarehe 12 Januari, 2022 Jijini Zanzibar katika Uwanja wa Amaani Karume ambapo Mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Ba...
Imewekwa tarehe: January 13th, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri na Naibu Mawaziri kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na ushauri wa wataalam katika utendaji kazi pamoja na kuhuisha...