Imewekwa tarehe: July 15th, 2022
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
SHULE ya sekondari Lukundo imekamilisha ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa ambavyo vinatumiwa na wanafunzi kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuo...
Imewekwa tarehe: July 14th, 2022
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
KATA ya Kiwanja cha Ndege inatekeleza ujenzi wa zahanati uliofikia hatua ya lenta ili kuwasogezea wananchi wake huduma za matibabu karibu na kuwaondolea usumbufu wa kufuat...
Imewekwa tarehe: July 14th, 2022
Na. Dennis Gondwe, DODOMA
SHULE ya sekondari Itega imekamilisha ujenzi wa madarasa mawili kwa shilingi 40,000,000 fedha za mapato ya ndani kutoka Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuwawezesha wanafu...