Imewekwa tarehe: October 30th, 2021
TIMU ya Dodoma Jiji FC inayomilikiwa na Halmashauri ya Jiji la Dodoma imefanikiwa kuongoza Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa saa kadhaa baada ya kuifunga Mtibwa Sugar ya Morogoro bao 1-0 na kufikisha ...
Imewekwa tarehe: October 30th, 2021
BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi 2021 na kubainisha kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 8.89.
Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Oktoba 30...
Imewekwa tarehe: October 28th, 2021
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ameahidi kufanikisha ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari Dodoma kwa lengo la kuongeza ulinzi kwa wanafunzi na mali za shule.
Mbunge Mavun...