Imewekwa tarehe: April 30th, 2021
MADIWANI wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kuwasilisha taarifa za changamoto mapema ili ziweze kutatuliwa na halmashauri badala ya kusubiri vikao.
Kauli hiyo ilitolewa na Mstahiki Meya wa...
Imewekwa tarehe: April 30th, 2021
BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma limefanyika leo 29 Aprili, 2021 katika mkutano wake wa kawaida kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli kwa robo ya tat...
Imewekwa tarehe: April 29th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Dodoma Dkt Binilith Mahenge amezitaka halmashauri zote za Mkoa wa Dodoma kuweka mazingira mazuri kwa ajili ya kupokea wawekezaji ili kuwavutia wawekezaji kuja kuwekeza katika Mkoa wa D...