Imewekwa tarehe: September 29th, 2018
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imepata Nembo mpya, ikiwa ni moja ya kitendea kazi muhimu katika taasisi, baada ya taratibu mbalimbali za kisheria kukamilishwa ikiwemo kushindanisha wabunifu.
Nembo h...
Imewekwa tarehe: September 26th, 2018
HALMSHAURI ya Jiji la Dodoma inatarajia kujiendesha kwa kujitegemea kwa asilimia mia ifikapo mwaka 2022, ikiwa ni pamoja na kutekeleza miradi ya maendeleo kwa kutumia makusanyo yake ya ndani.
Hayo ...
Imewekwa tarehe: September 21st, 2018
HALMASHAURI ya Jiji la Dodoma imewataka wafanyabiashara wote wasio na mikataba ya pango kwenye masoko ya Jiji kufika katika Ofisi za Jiji hilo kwa ajili ya kupatiwa mikataba halali wanayotakiwa kuwa n...